Tunza bahari ikutunze

Bahari ni chanzo kikubwa cha uhai wetu katika sayari hii, kwa maana kwamba tunavyoitunza bahari basi tunajitunza wenyewe kama binadamu na viumbe hai wengine. Itakuwa safi kesho kama tukianza leo, tuungane kusafisha fukwe zetu na tupimge vikali utupaji taka hovyo kwenye vyanzo vya maji na tutoe elimu kwa jamii juu ya madhara ya takataka kwenye vyanzo vya maji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *