Mkurugenzi wa Taasisi ya HUDEFO Sarah Pima akipanda mti katika kusherehekea siku ya mama duniani Zanzibar

Mkurugenzi wa Taasisi ya @hudefo_ (Sarah Pima ) akipanda mti katika kusherehekea siku ya mama duniani Zanzibar…

Taasisi Mbalimbali za TANZANIA bara na visiwani zilijumuika pamoja kusherehekea siku ya mama Duniani kwa kupanda miti na kuendeleza utalii…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *