Mkurugenzi wa Taasisi ya HUDEFO Sarah Pima akipanda mti katika kusherehekea siku ya mama duniani Zanzibar
Mkurugenzi wa Taasisi ya @hudefo_ (Sarah Pima ) akipanda mti katika kusherehekea siku ya mama duniani Zanzibar… Taasisi Mbalimbali za TANZANIA bara na visiwani zilijumuika pamoja kusherehekea siku ya mama Duniani kwa kupanda miti na kuendeleza utalii…