News & Events

Miaka 62 ya uhuru: ETE, HUDEFO washiriki zoezi la usafi

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya World Sustainable initiatives kwa kushirikiana, MBRC Tanzania, HUDEFO, Mazingira Plus, taasisi mbalimbali pamoja na wanafunzi wa vyuo mbalimbali wamefanya usafi katika ufukwe wa bahari eneo la Geza Ulole ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru ambapo Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alielekeza katika maadhimisho haya kila Mkoa ufanye shughuli mbalimbali za kimaendeleo hii ikiwa ni moja wapo.