Kupitia mradi wa JUKUMU LANGU chini ya ufadhili wa ubalozi wa Ireland; kwa kushirikiana na HUDEFO tumeandika kitabu cha maudhui ya kutoa elimu ya utunzaji bora wa mazingira
Kitabu cha jukumu langu kimebeba wahusika wawili ( Suraya na Zipo ) wakiwa wanafunzi wenye kutumia talanta, vipaji na kufanyika vinara katika kukabiliana na madaliko ya tabia nchi katika wilaya ya pangani, Tanga
Kitabu cha Jukumu Langu kinaenda kufikia zaidi ya watoto 500 katika shule za msingi na sekondari
Tumenza na shule ya msingi Madanga