KIDS WITH THE CLEANING

As parents it is a time to teach our kids and involve them in cleaning and conserving our ecosystems. HUDEFO celebrating international coast cleanup day invited kids from different schools to participate a short trip beach cleanup with their guidance and teach them how to turn wastes into products, to be good environmental conservers, as […]

Tunza bahari ikutunze

Bahari ni chanzo kikubwa cha uhai wetu katika sayari hii, kwa maana kwamba tunavyoitunza bahari basi tunajitunza wenyewe kama binadamu na viumbe hai wengine. Itakuwa safi kesho kama tukianza leo, tuungane kusafisha fukwe zetu na tupimge vikali utupaji taka hovyo kwenye vyanzo vya maji na tutoe elimu kwa jamii juu ya madhara ya takataka kwenye […]

Maneno ya Laurel Kivuyo Siku ya Muungano

HUDEFO

Laurel KivuyoLeo katika kusheherekea Sikukuu ya Muungano, nimeungana na taasisi yangu pendwa inayojihusisha na mazingira @hudefo_ katika mwendelezo wa usafishaji wa fukwe zetu hapa ikiwa ni Mikocheni beach. Lakini pia ni kuhamashishana na vijana wenzangu ku engage na maswala ya mazingira, kwani Mazingira yapo nasi katika sehemu zetu zote, maisha yetu yote. Nchi za wenzetu taka hizi […]

When you refuse to reuse, It’s the Earth you abuse.

HUDEFO

When you refuse to reuse, It’s the Earth you abuse. Welcome to @hudefo_ we are collecting clothes, books …Call us we will pick it +255 789 047 671. We Will give the list for our Collection centres for easy delivery.Don’t stay with clothes or books you don’t need it anymore…together we can reduce the emissions from fashion […]