Maneno ya Laurel Kivuyo Siku ya Muungano

HUDEFO

Laurel Kivuyo
Leo katika kusheherekea Sikukuu ya Muungano, nimeungana na taasisi yangu pendwa inayojihusisha na mazingira @hudefo_ katika mwendelezo wa usafishaji wa fukwe zetu hapa ikiwa ni Mikocheni beach.

Lakini pia ni kuhamashishana na vijana wenzangu ku engage na maswala ya mazingira, kwani Mazingira yapo nasi katika sehemu zetu zote, maisha yetu yote.

Nchi za wenzetu taka hizi ni Fursa,
Ni wangapi wana~ sort taka zao kabla ya kuzitupa?
Je wajua kuna Taka ambazo unaweza ku recycle?
Je wajua kuna taka yafaa ku re Use?

I love to see the changes in Climate is no longer a problem, but an Opportunity to scramble.

As the Youth Enviroment Ambassador, I am totally proud of Sarah Pima, @hudefo_ team and all youth who joined hands today despite of the rain.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *